
KARIBUNI KWENYE MARANATHA AFRICAN MISSION
Ni ombi na mapenzi yetu kwamba Mtakatifu na Mungu wa upendo atakubariki unapo endelea kudumu katika neno lake. Neema yake ikuaangazie na kutakasa sehemu zote maishani mwako. Tumaini letu ni kwamba awatie bidii ya kusimama imara ndani ya majaribu tukitambuwa ya kwamba Bwana wetu Yesu Kristu aliushinda ulimwengu, pia, mimi na Baraza lote kanisani tunakuombea wewe na jamaa lako kufanyikiwa, pia Utakapo tutembelea ukaweze kuguswa na nguvu za roho mtakatifu. Tutanatabiri mafanyikiyo kwa watoto wako, ndani ya ndoa yako na upako katika huduma Mungu amekupatia.
Wewe ni wa samani kwetu, pia maombi na musaada wako ni wa maana saana.
Ishi kwa Imani
Our Mission Statement
We are a multicultural ministry based on the Holy Scriptures as revealed in the bible. We serve in the spirit of love with humility, we support our community, our nation and the world, and we are creating a network to reach the lost souls, the hopeless, and minister to them with honor and respect they deserve. We are recognized for our anointed praise, dedication to the mission, spiritual gifts and promoting the success of each member.
Maranatha African Mission encourages the total involvement of members and promote team work and support inspired leadership
Our Mission: Maranatha African Mission has the mandate to build a big diversified community of sanctified believers here and all over the world, equip the nations for the second coming the Lord Jesus Christ.