top of page

Matunda Minstry's Group

Public·11 members

Lyrics: Iburahimu

IBRAHIMU 


Verse 1

Sauti yake Mungu baba

Ilimujiya iburahimu 

Ika mwambiya 

nitolee mwana o dhaabibu 

Usi muchinje mwanao 


Sauti yake Mungu baba

Ilimujiya iburahimu 

Ika mwambiya 

nitolee mwana o dhaabibu 


Chorus 

Iburahimu 

Najuwa wanipenda 

Usi muchinje mwanao o 

Ibrahimu 

Najuwa wanipenda aaa 


Verse 2

Iburahimu  

Alisafiri naye Isaaka 

Kwenda moriya 

Kwa siku tatu 

Ilikuwa ni huzuni 


Iburahimu  

Alisafiri naye Isaaka 

Kwenda moriya 

Kwa siku tatu 

Ilikuwa ni huzuni 

Usi muchinje mwanao 


Verse 3

Mwana Isaaka ka uliza 

Eh baba yangu 

Moto na kuni ziko 

Lakini kondoo wa dhabiu yuko wapi?


Mwana Isaaka ka uliza 

Eh baba yangu 

Moto na kuni ziko 

Lakini kondoo wa dhabiu yuko wapi?

Usi muchinje mwanao 


70 Views
bottom of page